Posts

NANI TAYARI AMEPATA HUDUMA? MIMI NITAAMINI VIPI?

Image
Ni kweli Mtandaoni kuna matapeli wengi, na hivyo watu wengi bado wana ukakasi wa huduma ya kupata copy kwa njia ya mtandao, siwezi kuwalaumu! Kwa kuwa mamia ya watu tayari wamekwisha pata huduma, na wewe unahitaji copy yako, lakini bado hauna uhakika; ukurasa huu utakusaidia kupitia baadhi ya watu waliopata huduma na kutoa mrejesho moja kwa moja.  Si rahisi kuweka Shuhuda za watu wote, Hapa chini ni baadhi ya Screen Shot ambazo zitakusaidia kufanya Maamuzi sahihi! 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. BONYEZA HAPA CHINI: NA MIMI NIPATE COPY YANGU

VIGEZO NA MASHARTI KWA AJILI YA KUPATA COPY(KIVULI) CHA KITAMBULISHO CHAKO

MASHARTI SOMA MASHARTI HAYA MPAKA MWISHO KISHA BONYEZA KITUFE CHA 'JAZA FOMU SASA' KWA AJILI YA KUJAZA FOMU YA MAOMBI. 1. Copy(kivuli) cha kitambulisho chako, itatumwa kwa njia ya email utakayojaza kwenye fomu ya maombi au Namba ya WhatsApp utakayoijaza kwenye fomu ya maombi na siyo vinginevyo. 2. Hakikisha unajaza taarifa zote kwa usahihi kabla haujatuma(submit) ombi lako 3. Kagua kwa umakini herufi za majina yote, hakikisha ziko sawa(kama ulivyojaza wakati unajiandikisha) na idadi ya tarakimu za namba yako ya NIDA(NIN) zisipungue wala kuzidi 20. 4. Hakikisha unatofautisha kati ya mahali ulipozaliwa, mahali ulipojiandikisha na makazi yako ya kudumu. Jaza taarifa hizi kama ulivyojaza wakati wa kujiandikisha NIDA 5. Hakikisha umeweka pesa kwa ajili ya ada(fee) kwenye mobile money account yako iwe Airtle money, M-pesa, Tigo pesa au Halo pesa. Kiasi kisichopungua 4000 kwa ajili ya online ID copy, na kiasi kisichopungua 5500 kwa ajili ya copy of original. 6. Jaza vipengele vyote k...

NAMBA YA NIDA: NIMEJISAJILI TAYARI, ILA NAMBA BADO SIJAPATA AU NIMESAHAU, NINAIPATAJE?

Image
Kwa sababu tayari umejisajili na kuingiza taarifa zako kwenye kanzidata ya NIDA, basi kupata namba yako ni rahisi sana.  Ukurasa wa jihudumie NIDA unaonekana hivi Kuna njia kuu tatu za kupata Namba yako ya NIDA Kwenda Ofisi ya NIDA ulipojisajili kwa tarehe mliyokubaliana, lakini kama umetingwa na kazi, basi tumia mojawapo ya njia hizi hapa chini. Kupitia Mtandao ( Kwenye ukurasa wa JIHUDUMIE NIDA ) Kupitia simu yako ya kiganjani Hatua za kupata Namba Mtandaoni Fungua tovuti ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa Kisha chagua link ya National Identity menu au nenda moja kwa moja kwa kutumia anwani hii ( ukurasa wa JIHUDUMIE NIDA ) Ukurasa utakutaka uandike majina yako kamili Jaza tarehe ya kuzaliwa Andika majina ya mama yako (kama ulivyoandika wakati wa usajili) Bofya Search. Hatua za kupata Namba kwa simu Kama hauna intaneti ila unasimu ya mkononi inayotumia mtandao wa Vodacom au Airtel basi unaweza pata namba yako ya nida kwa kutumia USSD code. Fuata hatua zifuatazo Andika *152*00# ...

ONYO(DISCLAIMER)

1. Kivuli cha kitambulisho chako(digital copy) siyo sawa na Kitambulisho Halisi(Original). Hivyo kwa kubonyeza hapa chini, unakubali kukitumia kivuli kwa matumizi ya Lazima tu, wakati ukiendelea kufuatilia kitambulisho chako halisi kutoka katika ofisi za NIDA wilayani kwako(mahali ulipojiandikisha) 2. Kwa kubonyeza hapa chini unakubali kuwa unawajibika moja kwa moja na madhara yoyote ya kisheria yatakayotokana na matumizi ya kivuli cha kitambulisho chako. NIMEELEWA NIPATIE KIVULI CHA NIDA YANGU

HIVI KITAMBULISHO CHA NIDA KINA UMUHIMU GANI?

Image
Kabla sijaendelea mbele ngoja kwanza nigune (Mmmmmh!) maana si mchezo,  Kuna rafiki yangu alinyimwa kazi kwa sababu alikosa kitambulisho cha Taifa Mwingine alinyimwa mkopo, kwa sababu kuna kipengele cha kuambatanisha kitambulisho chake cha Taifa au Leseni, yeye hakuwa na vyote. Mwingine naye Ameshindwa kupata scholarship, baada ya kuchelewa kufuatilia kitambulisho chake Na kadhalika! na kadhalika!, Mpaka nikawa ninajiuliza, Haya yamekuwa mambo ya 666 nini? NIDA inahitajika kila kona, kila unapogusa Kama bado somo halijaingia, Tovuti ya NIDA imeandika kuwa, ukiwa na Kitambulisho chako au namba  ya kitambulisho; vitakusaidia kupata huduma nyingi za kijamii, kiuchumi na kiusalama wakataja; Kusajili Laini ya Simu (Sim Card Registration), Kusajili Namba Maalumu ya Mlipa Kodi (TIN), Kusajili Biashara/Kampuni – BRELA, Kukata Hati ya Kusafiria ya Kielektroniki (E-Passport), Kukata Leseni ya Udereva, Kupata Huduma ya Afya, Kufungua Akaunti ya Benki, Kukopesheka Kirahisi kwenye Taasisi...

NINATAKA KUJIANDIKISHA NIDA KWA MARA YA KWANZA

Image
Ili kuingia kwenye kanzidata ya Taifa ya NIDA, fuata hatua zifuatazo; Kwanza kabisa, pakua fomu ya usajili ( BONYEZA HAPA ), print halafu ujaze kwa ukamilifu. Pili ambatanisha kivuli cha Cheti cha kuzaliwa andaa na picha za pasipoti(Passport size) Tatu Toa kivuli cha kitambulisho cha mzazi mmoja wapo Nne ongeza kimojawapo kati ya vitu hivi (chochote utakachokuwa nacho);  cheti cha kuhitimu elimu ya msingi kadi ya kupigia kura leseni ya udereva Utambulisho wa mlipa kodi (TIN Number) cheti cha kidato cha 4 na 6  kadi ya bima ya afya kadi ya uanachama wa mfuko wa hifadhi ya jamii. Tano utaipeleka nyaraka zako kwenye ofisi ya serikali ya mtaa/kitongoji unapoishi kwa ajili ya kuweka saini, muhuri kisha waombe wakupe barua ya utambulisho wa mkazi. Baada ya hapo jiandikishe mtandaoni Au utaipeleka nyaraka zako kwenye ofisi za NIDA zilizopo wilayani kwako kwa ajili ya usajili na uchukuaji wa alama za vidole. NIDA watakuambia usubiri, ili wakufanyie mchakato wa kuingiza taarifa z...

JINSI YA KUPATA NIDA YAKO

Image
HITAJI LAKO NI LIPI KATI YA HAYA? SHIDA YANGU NI COPY,  NAMBA  NINAYO TAYARI  NIMEJISAJILI TAYARI, ILA BADO SIJAPEWA NAMBA SINA NAMBA YA NIDA WALA SIJAWAHI KIJISAJILI NAANZIA WAPI? MMKEZANA NIDA, NIDA! KWANI HIYO NIDA INA UMUHIMU GANI? Kama umekutana na changamoto ya kutakiwa kuwa na Kitambulisho Cha NIDA unapotembelea taasisi mbali mbali, serikali ama binafsi, hauko peke yako. Watu wengi wanakumbana na kisiki hicho Cha kutakiwa kuwa na namba ya NIDA au Kitambulisho kabisa.  Yaani kila ukigeuka huku na kule utaambiwa namba ya NIDA mara copy ya kitambulisho iko wapi, ni shida!. kuanzia Leseni ya biashara Leseni ya udereva Taasisi za mikopo (Bodi ya mikopo ya elimu ya juu ndo kabisaaa, wanataka na kitambulisho cha mdhamini wako) Mabenki Laini za uwakala Pass ya kusafiria Bado hatujazungumzia biashara za mtandaoni kama Forex, Crypto n.k wote wanataka wakufanyie KYC na ili utoboe lazima ku-upload kitambulisho chako. Kila kona ni jau! Mamlaka ya vitambulisho nchini (NIDA)...